TACHA kupitia serikali ya kijiji ilipatiwa ombi la msaada wa kisima cha maji safi, kwa msaada wa patron wa chama, kilichimbwa kisima chenye gharama ya Tshs 36,000,000/= kwa ajilii ya kuwapatia maji safi wana kijiji cha Mtepera.

Maombi yanatakiwa kutumwa kwa Kamanda wa Uhifadhi Kanda ya Kusini Mashariki
TAWA ILITANGAZA VITALU KWA AJILI YA MNADA ULIOFUNGULIWA TAREHE 16 AUGUST 2021 HADI TAREHE 22 AUG 21. kupitia chama wanachama waliotaka walifungua kampuni TACHACO na waliingia katika mchakato wa mnada kwa mapori yafuatayo: 1. Kisarawe 2. Kilwa 3.Talamai 4.Simbangulu/igwemadete 5.Ipemba Mpazi 6. Matundu Forest Reserve as the picture shows the task force bid
kampuni tanzu ya TACHA iliyoanzishwa na wanachama wenye nia ya kuanzisha kampuni ya uwindaji TACHACO HUNTING SAFARI GROUP LTD kwa kuitikia wito wa TAWA kuboresha uwindaji wa wenyeji na wageni wakazi nchini. Walifanya kikao makao makuu ya TACHA Regency Hotel tarehe 04 AUGUST 2021. Waliohudhuria Victor Gogadi, Mashaka Job, Mh Mndolwa, David Mataka, Francis, Col Ndonde rtd, Urassa pamoja na Raymond Shauri(hayupo pichani).
Kwa niaba ya wanachama wa Chama cha Uwindaji wa Wenyeji na Uhifadhi TACHA (Tanzania  Conservation and Local Hunters Association), tunapenda kutoa salaamu zetu za rambrambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Chama Tawala cha CCM na Serikali yake pamoja na wa Tanzania wote kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na Rais wetu mpendwa Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Ni PH wanaoweza kukupa ushauri katika uwindaji jiunge TACHA ili upate ushauri wa kitaalamu.
Stay tuned tumetuma members kwenda Kiteto ili watoe changamoto za uwindaji wenyeji katika upande huo.
Mcheza gofu maarufu na kiongozi ameamua kutumia ujuzi wa gofu katika kulenga mashimo na sasa analenga vizuri katika uwindaji .
Wanachama wa TACHA na wadau mbalimbali wakishiriki Range.
Uongozi wa Tacha unapenda kuwakumbusha katika kikao kilichofanyika tarehe 15/2 na maamuzi yaliyofanyika kuhusu range.

Pages