Tunayo furaha ya kuwataarifu kwamba account ya TACHA imefunguliwa benki ya NMB Sinza. Kuanzia sasa michango yote na ada zote zinatakiwa kupelekwa moja kwa moja benki. Hivyo ,wanachama tunatakiwa  kulipia  Ada  ya mwaka  kwa  kupitia  account  hiyo,ada ya mwaka ni TZS 100,000 /-tunasisitizwa kuilipa  kabla ya trh  15/6/2019.

 

TACHA ACC NO 24710007502 NMB