kikao maalumu cha kujadili TACHACO kuingia katika mnada wa uwindaji wenyeji kilichofanyika Regency Hotel na baadae Serena hotel tarehe 10 August 2021. Mr Victor Gogadi na Mweka hazina Mashaka Job. wajumbe katika kikao kilichofanyika Serena Hotel baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao cha waziri wa Maliasili na utalii. Mh waziri Ndumbaro akiwahutubia wadau wa uwindaji wa wenyeji chuo cha utalii tarehe 10 August 2021