Kwa lengo la kuendelea kuhifadhi mazingira, wanachama maalumu wa TACHA wameamua kwa dhati kulifanya ziwa Maliwe kuwa sehemu nzuri ya kivutio
Ujumbe wa viongozi na wanachama ulipata fursa ya kumtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Dk Pindi Chana mbunge katika maonesho ya SITE tarehe 12 October 2024.
Mvua zilizonyesha tarehe 02 December 2024 zilivunja daraja lilipo mbele ya Miguruwe na kupoteza mawasiliano kwa njia ya Liwale