Range ni muhimu kwa wana TACHS
Viongozi wa Tacha wakiwa na waziri Mkuu mh Majaliwa kasimu Majaliwa
kikao maalumu cha kujadili TACHACO kuingia katika mnada wa uwindaji wenyeji kilichofanyika Regency Hotel na baadae Serena hotel tarehe 10 August 2021.
Moja ya maafisa wa TAWA akitoa maelezo kwa wadau kuhusu utaratibu wa mwongozo wa kanuni za uwindaji wa wenyeji. Alisisitiza uteuzi utakuwa kwa njia ya Elekroniki Bidding.