Moja ya maafisa wa TAWA akitoa maelezo kwa wadau kuhusu utaratibu wa mwongozo wa kanuni za uwindaji wa wenyeji. Alisisitiza uteuzi utakuwa kwa njia ya Elekroniki Bidding.