Mvua zilizonyesha tarehe 02 December 2024 zilivunja daraja lilipo mbele ya Miguruwe na kupoteza mawasiliano kwa njia ya Liwale Daraja hili lilijengwa kwa muda kutokea mwaka jana baada ya tufani ya Hidaya