MVUA  ZA MASIKA ZILIZOANZA MWISHONI MWA MWEZI MARCH 2024 ZIMEHARIBU DARAJA LINALOUNGANISHA KATI YA NJINJO NA MTERA, INASHAURIWA KUTOKWENDA KWA KIPINDI HIKI HADI TUTAKAPO TAARIFA ZA MATENGENEZO YA DARAJA HILO.