Siku ya  tarehe 11 May 2019 kikao cha Task Force kilifanyika  na kuazimia yafuatayo:

  • Kila mwanachama alipe ada yake ya mwaka 19/20 kupitia account ya chama TZS 100,000/-. Account number inapatikana kwenye website.
  • Mkutano mkuu utafanyika Sep 2019, tarehe tutatangaziwa
  • Kufunguliwa kwa Tacha Shooting Club wanaotaka kujiunga wawasiliane na katibu wa muda.