Members wa TACHA leo  walipata fursa ya kuwasilisha maoni yao kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii  Professor Adolf Mkenda ambaye aliambatana na maafisa watendaji toka TAWA. Ujumbe wetu uliongozwa na Luteni General Kisamba. Issue ni kuwasilisha maoni ambayo tunasubiri majibu yake toka wizarani na Katibu Mkuu ameahidi atafanya hivyo.