Tunayo furaha ya kuwataarifu kwamba account ya TACHA imefunguliwa benki ya NMB Sinza. Kuanzia sasa michango yote na ada zote zinatakiwa kupelekwa moja kwa moja benki. Hivyo ,wanachama tunatakiwa kulipia Ada ya mwaka kwa kupitia account hiyo,ada ya mwaka ni TZS 100,000 /-tunasisitizwa kuilipa kabla ya trh 15/6/2019.
TACHA ACC NO 24710007502 NMB