Members wa TACHA leo walipata fursa ya kuwasilisha maoni yao kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Professor Adolf Mkenda ambaye aliambatana na maafisa watendaji toka TAWA. Ujumbe wetu uliongozwa na Luteni General Kisamba. Issue ni kuwasilisha maoni ambayo tunasubiri majibu yake toka wizarani na Katibu Mkuu ameahidi atafanya hivyo.
News & Events
April 03, 2024
March 20, 2024
December 05, 2023