kikao cha kujadili kfungwa kwa uwindaji wa wenyeji Mwenyekiti Col Ndonde rtd akimwelezea waziri Mkuu kusudio la kikao Mheshimiwa Waziri Mkuu akisalimiana na Mr Raymond Shauri Makamu Mwenyekiti TACHA. Mh Waziri Mkuu akisalimiana na Victor Gogadi Mjube wa TACHA Kamati tendaji ya Tacha ikiongozwa na Lt Gen W Kisamba rtd katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu. Mh waziri Mkuu akisalimiana na Mr Magori mjumbe TACHA.