Uongozi wa Tacha unapenda kuwakumbusha katika kikao kilichofanyika tarehe 15/2 na maamuzi yaliyofanyika kuhusu range. 
Uongozi unapenda kuwafahamisha wanachama wote mambo yafuatayo:

ADA ZA RANGE
1. Wanachama - 20,000/=
2. Wasio wanachama - 30,000/=
3. Wasindikizaji watakaotaka kupiga range kwa kutumia bunduki ya  aliye msindikiza - 10,000/=

Utekelezaji wa mwongozo huu utaanza kutekelezwa tarehe 28/06/2020.

Wanachama mnaombwa kusambaza ujumbe huu kwa wadau.