Maombi yanatakiwa kutumwa kwa Kamanda wa Uhifadhi Kanda.
Kanda ya Kusini Mashariki
S.L.P 102
Masasi
Email: southeasternzone@tawa.go.tz

Quota imetolewa kwa kitalu cha Kilwa North Open Area kilichopo Wilaya ya Kilwa.
Soma kanuni za uwindaji 2022 ndio zinazotumika.